Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio John mnyika?Kwani ulipojiunga ulilazimishwa?🐼
Wewe wanaccm wenzako wako Kizimkazi wanakunywa tende na visungura wewe unahangaika na chama kisichokuhusu.Tunaomba majibu sahihi kabla hatujahama chama hiki.
Ww na kina nani? Kwa nn usiandike barua kwa wahusika?Tunaomba majibu sahihi kabla hatujahama chama hiki.
Harafu kwa ufisadi huu ndio wanataka tuwape nchi hii duuuHilo ni fumbo la imani kwa CHADEMA. Kuulizia michango ya join the chain ni kama uhaini ndani ya CHADEMA
Ulipojiunga ulikuja kuanzisha thread hapa?Tunaomba majibu sahihi kabla hatujahama chama hiki.
Enzi za mwendazake zile Trilion 1.5 ziliibwa na CHADEMA?Harafu kwa ufisadi huu ndio wanataka tuwape nchi hii duuu
Wewe huyu tangu lini ukawa CHADEMA kama Sio uchawi ni nini? Kwanini mnafuta vijiji??Tunaomba majibu sahihi kabla hatujahama chama hiki.
Watu wamekuwa wakiishi huko kabla na hata ya nyie ccm sjui TANU kuwepo,mnataka kuwatoa watu kwenye maeneo yao ya asiliTahadhari, :-
MAMBO MUHIMU YA UHIFADHI WA RASILIMALI ZA MBUGA ZETU ZILIZOPO KWENYE MIPANGO YA UHIFADHI NA URITHI WA DUNIA, TUSIGEUZE KUWA MASUALA YA KISIASA, UHIFADHI HAINA UDUGU NA SIASA! TUELEWE HILI.
Ok, kwa kuwa hatulazimishwa kujiunga ndio mfanye mambo kiholela holela?, hii ni michango ya kitaasisi au community ni haki kuhojiwa michango ile ilitumikaje katika kuistawisha CHADEMA yetu?.Kwani ulipojiunga ulilazimishwa?🐼