Sisi wana chadema tunataka kufahamu mabilioni ya Join the chain yapo wapi?

Sisi wana chadema tunataka kufahamu mabilioni ya Join the chain yapo wapi?

Kahama silaa, msigwa ije kua ww ginimbi
Ndio maana tunasema chama safi kwa wakati huu ni ACT wazalendo!
-chama gani kinachojitabanaisha ni cha kidemokrasia kisicho weza kuhojika, au ukihoja unakuwa hatarini.
 
Mkifanya vituko mnakimbilia kujificha kwenye kichaka Cha CHADEMA.
 
Tarehe 5/9/2024 Tunahughulikia kibali polisi ili tuandamane kuhoji kuhusu fedha za join the chain, hatuna utani.
 
Ndio maana tunasema chama safi kwa wakati huu ni ACT wazalendo!
-chama gani kinachojitabanaisha ni cha kidemokrasia kisicho weza kuhojika, au ukihoja unakuwa hatarini.

Si uende makao makuu ya chama ukahoji.
 
Ok, kwa kuwa hatulazimishwa kujiunga ndio mfanye mambo kiholela holela?, hii ni michango ya kitaasisi au community ni haki kuhojiwa michango ile ilitumikaje katika kuistawisha CHADEMA yetu?.
#Msitufanyie mambo ya mzaha mzaha sisi wanachama, hohoho patachimbika!
Mchango na Changizo ni vitu viwili tofauti bwashee 😄😄
 

Attachments

  • GVcI_HwWoAAKqRw.jpeg
    GVcI_HwWoAAKqRw.jpeg
    65.4 KB · Views: 0
Enzi za mwendazake zile Trilion 1.5 ziliibwa na CHADEMA?

Sasa hivi zile Trilioni 1.7 zilizopotelea kusikojulikana walichukua CHADEMA?

Enzi za Meremeta ama Tangold mpaka zama za bilioni 360 za Tegeta Escrow, ulisikia wanachadema wanahusishwa na huo uchafu wa ufisadi zaidi ya Wana CCM?

Kwenye Orodha ya Luhanga Mpina kuhusu ufisadi unaotokana na vibali vya uagizaji sukari, ulisikia ama kuona Mpina akiwataja CHADEMA?

Hakuna ufisadi unaofanyika nchi hii bila za baraka za CCM ama wana CCM wenyewe kuhusika.
Kwaiyo fedha za join the chain zimepigwa na CCM kwaiyo chadema mnashindana na CCM kufanya ufisadi. Sasa kama chadema mmeshindwa kuonyesha uaminifu kwa visenti si mkikabidhiwa hadhi na je?
 
-ACHA NA MAHESABU YA FEDHA ZA RUZUKU -
Tunataka hesabu ya fedha hizi za join the chain, mbona mnatufanya sisi wanachama mamburura?
1. Wewe ni CCM, tunakujua
2. Naomba uniwekee hapa kifungu kinachosema kuwa CAG anakagua ruzuku tu!
 
Back
Top Bottom