Sisi wana JF tunaomba Pasco Mayala ateuliwe hata afisa mtendaji kata. Hatujapenda

Sisi wana JF tunaomba Pasco Mayala ateuliwe hata afisa mtendaji kata. Hatujapenda

Pasco mayala ni kaka yetu na nguli mtabe wa habari
Mkuu Gweregwere, asante kunianzishia uzi, nina jambo langu
P
 
Pasco mayala ni kaka yetu na nguli mtabe wa habari kutokupata teuzi huku anazeeka hatujapenda kwakweli.

Superbug
Mkuu Gweregwere , kwanza asante kunianzishia uzi, pili naomba hizi sala zako sasa uzielekezee katika jambo letu hili.


Pasco
 
Pasco mayala ni kaka yetu na nguli mtabe wa habari kutokupata teuzi huku anazeeka hatujapenda kwakweli.

Superbug
Mkuu Tapaiko Namkeho , asante kuniombea uteuzi, hili jambo langu ni leo!.
Tumuombee mwanaJF Pascal Mayalla apitishwe

Wote tuseme Amen!
Mkuu Yahana Mbatizaji, johnthebaptist , amen, amen!.
Hili jambo nimelianzia hapa Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
Nikakumbana na Kikwazo cha kwanza hapa Licha ya vikwazo kadhaa, hatimaye nimefanikiwa kuianza ile safari. Asanteni kwa sala zenu zimesaidia ila bado zinahitajika sana! Mungu nisaidie
Nikatoa ushauri kwa chama changu kuhusu EALA Ubunge EALA, Wito Kwa CCM, Msiangalie Ukwasi, Tuteulieni, Wazalendo wa Kweli wa Taifa Hili, Wenye Uwezo na Uzoefu wa Kimataifa Kutuwakilisha Ipasavyo
Kazi ya Uelimishaji Umma kuhusu EAC inaendelea Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Fursa za Mtangamano
Tukaitwa Dodoma kuhojiwa, huko nikakutana na A shock of my life, furaha yageuka shubiri. Be good to people on your way up, you might meet them on your way down, mwenzenu leo yamenikuta!
Sasa leo ndio kikao cha CC kuchuja majina, hivyo sala zenu zinahitajika sana kuliko wakati mwingine wowote!.
Mungu Nisaidie!.
P
 
Pasco mayala ni kaka yetu na nguli mtabe wa habari kutokupata teuzi huku anazeeka hatujapenda kwakweli.

Superbug
Mkuu Superbug , asante kuniombea uteuzi. Kitu muhimu kwa kila Mtanzania ni uzalendo wako kwa nchi, fanya kazi kwa bidii, lipa kodi, jenga nchi, na ili kuisaidia nchi yako sio lazima mpaka uteuliwe kuwa somebody. Hivi hivi nilivyo nobody, bado naweza kuisaidia nchi yangu!. Mfano mwaka huu wa 2023 nimeshauri Watanzania ni maneno maneno na kulialia, Vitendo 0. Katiba ni maneno tu! Je, 2023 tuendeleze maneno matupu na kulialia au tubadilike tufanye kitu?
P
 
Uzi una mwaka mmoja mama hajakuona ila nakuombea baraka bro Pascal Mayalla na kwakuwa una uvumilivu huna jazba amini vyombo vitakuona tu. Nakutamkia baraka 2023.
 
Back
Top Bottom