Sisi wana yanga tunalaani jambo hili kwa nguvu zetu zote

Sijakataa ila kutoa milioni 5 wakati umeshidwa kuipeleka timu uturuki kwa ukata wa fedha ni dharau kwa timu yetu
 
Sijakataa ila kutoa milioni 5 wakati umeshidwa kuipeleka timu uturuki kwa ukata wa fedha ni dharau kwa timu yetu
Kwani ingetokea timu ikaenda huko Uturuki, hela za kambi angetoa mfukoni mwake?

Halafu mbona viongozi walishatolea maelezo sababu za timu kuweka kambi Avic Town! By the way, umeona kuna mwanachama au shabiki wa Yanga aliyeshobokea hiyo kambi ya Uturuki, huku tukikumbuka kilichotokea msimu uliopita?

Relax bro! Timu yenu imeenda kuweka kambi Misri, na sisi tumeweka kambi Kigamboni! Tukutane kwenye Ngao ya Jamii hiyo tarehe 13, ili mbabe wa ligi msimu ujao ajulikane mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ