MUSHEKY
JF-Expert Member
- May 9, 2014
- 2,812
- 2,760
- Thread starter
- #21
Sijakataa ila kutoa milioni 5 wakati umeshidwa kuipeleka timu uturuki kwa ukata wa fedha ni dharau kwa timu yetuKwa hiyo ukiwa rais wa Yanga huruhusiwi kuhudhuria harusi na kutoa zawadi! Au alikuambia hiyo hela aliitoa kwenye akaunti ya timu!
Au unataka kutuaminisha huyo Herci Said hana uwezo wa kutoa hiyo hela kutoka mfukoni mwake!
Eti uwajibikaji wa kiongozi!! Huna lolote wewe. Wivu tu ndiyo umekujaa.