Mwanadamu anazo dhambi NNE kuu ambazo zinamtesa katika maisha yake mojawapo in kupenda kutawala au kupenda heshima. Dhambi hii huleta utengano katika jamii na matunda ya dhambi hii katika jamii ni chuki ,vita nk.
Asilimia ndogo ya watu hatupendi kutafuta suluhu au kupenda kukaa mezani tukatafuta solution juu ya difference kati yetu bali tunasemana pembeni kama njia ya kufikisha ujumbe. Njia hii imeleta mipasuko katika jamii, kwenye vyama vyetu vya siasa, migororo ya kimataifa
Bernard Membe ni mmoja wa watu ambao nahisi ameathrika na dhambi hii namba NNE kama aliona difference kati yake na mwenyekiti njia sahihi haikuwa kumsema pembeni bali kuomba audience na mwenyekiti ili kujadiliana namna bora ya kuendesha nchi. Kwa bahati mbaya sidhani kama alifanya hivyo na sidhani kama mwenyekiti naye alichukua juhudi ya kumwita ili kukaa mezani
Sidhani pia kama wazee wa chama au wa nchi walifanya juhudi zozote kuwapatanisha baba na mwanae au mwenyekiti na mwanachama wake au Rais na mwananchi wake. Tusipende mashindano maana hayaleti maendeleo bali uhasama. Leo Bernard amehamia ACT ni dhahiri kwamba ataleta shida kido hata kama siyo kubwa sana kihivyo lakini pia na yeye amethirika kukubwa sana maana sasa ni mtoto wa kambo! Wataanza kukuonyesha tabia za mtoto wa kambo.