Sisi wanadamu tunakula chakula ili tusife?

Bin Shaib

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2019
Posts
1,346
Reaction score
1,221
Wakuu habari za shughuli,nazani ni njema wakuu.

Kuna hii ishu tumekuwa tukibishana bila mafanikio ,kwa humu jf naamini ntapata mwanga.

Ni swali ambalo lilizua utata maeneo fulani.
Swali lenyewe ni kama ifuatavyo.


1.Sisi wanadamu tunakula chakula ili tusife?

2.Au tunakula chakula ili tuishi?

3.Au tunakula ili tushibe?

Lipi jibu sahihi?
Na ni kwanini liwe hilo jibu ulilotoa?
Jibu lako liwe nasababu.
Majibu yenu yanahitajika.

© Bin Shaib Classic 2020.

 
Sisi binadamu tunakula ili tusife..
Sababu: brain iko programmed kuzuia kifo kwa namna yoyote ile.. kwahio mwili ukikosa glucose ya ku-run brain brain inampa taarifa tumbo ili asikie njaa ili mtu uwe motivated kula. (Hapa umeona njaa sio sababu ya kula sababu kabisa ni brain kukosa glucose na baseline sababu ni hofu ya kifo).

With time binadamu wenyewe tukaanza kutafuta maana zetu wenyewe na justification za kula.. ndio baadhi wanatafsiri kula kama enjoyment lakini mwisho wa siku woote tunakula tusife tu
 
Sioni utofauti kati ya namba moja na mbili
 

Mbona wanakufa tu pamoja na kula


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Well said
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…