Sisi wanaume ndiyo tumesababisha wanawake kuongezeka


Najaribu kufanyia utafiti hili swala lako coz nadhani halina ukweli kwa asilimia kubwa sana pombe haiwezi sababisha ukakosa mtoto wa kiume na kma ukizidisha basi utakosa watoto na sio mtoto wa kiume.
 
ila mwacheni mungu aitwe mungu , hivi wanaume ndo wangekuwa wengi halafu mke mmoja waume watatu mfano mimba ikiingia woote mnasubiria atayefanana na mtoto ndo babake ingekuwa balaaa,
 
Halafu uache mtindo wa kumlalia mkeo.
Mtoto wa kiume analetwa na Doggy style.
Na wenye vibamia wengi hawawezi hii style...kwa hiyo vibamia ndio chanzo cha watoto wa kike.

dah so Diamond, Davido,Sugu,Mr Blue, Gardner, Black Rhino, Q chief etc wote hao wana vibamia mkuu kwa hio point yako..?
 
bora umemwambia maana mm nilitaka nimpooromoosheee moja kavu laivu ajue alichokiandika hapa ni laana kwake hawezi kutufanya mahamkeni kiasi hicho
Ina maana hata huyo aliyekuzaa wewe ni zao la mbegu hafifu....??
mkuu angalia vizuri uzi wako, hapo umetukana mama zako, shangazi zako, dada zako, bibi zako, etc
ina maana michepuko ina sababisha watoto wa kike...?
 

Sio kweli na unachosema, jaribu ku google na uangalie tu watoto wanaozaliwa kwenye mikesha ya Christmas kila mwaka na hospitali tofauti utaona watoto wa kiume wanazaliwa wengi kuliko wa kike.
 
Mtoa mada ana ukweli...ukitazama kisayansi kupata mtoto wa kiume lazima uzingatie a lot of factors......Google X and Y chromosomes....pia lazima mazingira husika yawekwe sawa ndiposa mtoto wa kiume apatikane kwa sababu ya upekee wa Y chromosome(rare).
Hata kwa hayo,sidhani kua ana nia yoyote ya kuwadhalilisha wanawake,nyote mnaomlaani mwajua ukweli yakua aliyoyasema mleta mada ni ukweli KISAYANSI.
Mleta mada: Lazima uzingatie maelekezo ya wahudumu wa afya,wanasayansi au washauri/wazee ikiwa unahitaji kupata mtoto wa kiume.
Mwisho: Kwa ulimwengu wa sasa wote ni sawa ke au me lakini wapo wengine walio sawa zaidi ya wengine........husiniulize hilo(to be politically correct with the times of feminists campaigns we are in).
 
Uongo tukuka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…