Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,120
Nime kuwa nasikitika sana kuona wanaume wenzangu wananaua tumidori vigari vidogo sana havina nafasi Ist,Vits na ndugu zake wakina passo n.k tupambane tutafute hela tununue BMW V8 PRADO n.k
unanunuaje gar ambayo ukikaa pale mbele ukigeuka nyuma na kunyoosha mkono unafika kwenye buti..au ukiwa unaosha gar ukitumia kitoto ndoo kinatosha osha gari nzima!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hilo kweli ,kuna gari la kupanda na gari la kudumbukia
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Kwa wanawake haina shida sisi wanaume ndio shida kumiliki utu tumidoriMtununulie na sisi
Nimejinenepea hapa namwambia baba watoto vitz hainifai tena ananiambia nipunguze mwili[emoji1787][emoji1787]
Magari ya wanaume mkuu yapo mengi cjui kwanini baadhi ya wenzetu wana nunua tumidori vitzUmesahau Rolls Royce Cullinan 0KM.
Lakini sio ununue tumidori tugari twa kujifunzia watoto kuendeshaAaah hii nayo ni poverty mentality....unanunua kitu kitakacho kusaidia sio show off...
Salute maana ni dharau kubwa mkuuNIKIWA Kama baba wa binti,
Sipokei mahali iliyoletwa Kwenye IST[emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli waliojoin JF kwanzia 2016 kushuka chini tunamiliki ndinga za maana town na hao wa 2017 kupanda juu ndo vitz IST spacio na mini Cooper huoni hata Kunde Ekeke anavolalama 😂Nabeti[emoji4]
Kuna jamaa atakuja kucomment,
[emoji116]
"Humu jf kila Mtu anamiliki gari"[emoji2]