Sisi wanaume tutafute hela tununue magari ya hadhi yetu

Sisi wanaume tutafute hela tununue magari ya hadhi yetu

Nime kuwa nasikitika sana kuona wanaume wenzangu wananaua tumidori vigari vidogo sana havina nafasi Ist,Vits na ndugu zake wakina passo n.k tupambane tutafute hela tununue BMW V8 PRADO n.k

Mtununulie na sisi

Nimejinenepea hapa namwambia baba watoto vitz hainifai tena ananiambia nipunguze mwili🤣🤣
 
Nabeti[emoji4]

Kuna jamaa atakuja kucomment,
[emoji116]
"Humu jf kila Mtu anamiliki gari"[emoji2]
Ni kweli waliojoin JF kwanzia 2016 kushuka chini tunamiliki ndinga za maana town na hao wa 2017 kupanda juu ndo vitz IST spacio na mini Cooper huoni hata Kunde Ekeke anavolalama 😂
 
Back
Top Bottom