Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Lakini ww ni wa Dar au ni wa kule umekulia huku. Mana sisi wa Dar hatuna time ya kushindana na hawa wa mikoani. Mana hawa ndo Magu huwaita wananchi wanyonge anaowatetea. Tunaanzaje kuwapa mademu wetu kwa mfano.... hata Kwa dakika moja
 
Hahhaha Nipeni Nanyori Yenu Moja Niipeleke Umasaini Nikaushughulikie itakuja Kuwahadithia Style Zilizopigwa Huko eg Za Mkwezi ,Popo kanyea Mbingu.
 
Mademu wanawapendea pesa tu basi hata kama haridhiki lakini kwa kuwa anataka kukuchuna tu atakuvumilia tu ila pembeni atakuwa na mimi wa mkoani pesa yote unayomhonga inakuja kwangu kirahisi tu
Wanaume wa Dar bila kubusti na matikiti maji,supu ya pweza,Mihogo mibichi na viagra hachukui hata dk 5 kwenye hiyo papisi sijui papachi

We hujiulizi kwa nini safari za mikoani kwa wake zenu haziishi
Au analipa nauli naingia Dar kimya kimya napiga mzigo wiki nzima nasepa zangu mkoani

Nyie endeleeni kula chipsi mayai tu
 
Tupe majibu mkuu!!
Kila mmoja anamadhaifu yake

Mwanaume Wa dar yupo romantic, anajua kupetipeti, anajua viwanja, anajua how to make you feel like upo peponi hahaha sijui pepo ya fordaus au IPI, ukija kwenye 6 x 6 ndo majanga unayakuta moja chali. Ingawa wengi (including me) huwa wanapenda hiyo kitu sio kuchoshana mpaka kunakuwa kwekunduuuuu unageuzia feni papate upepo maana sio Kwa umoto ule


Wamikiani mmmh, hawajui beach, hawajui club, hawajui kupetipeti, hata kutembea barabarani hawawezi, ila kwenye uwanja wapo vzr wanaweza kurudia Mara kadhaa mpaka useme basi,

According to me, napenda wanaume Wa dar, hahaaha
 
Wanaume wa Dar ni kama mabinti tu
Hujichubua kama wanawake
Hujipodoa kama wanawake
Kupaka nywele mafuta kama wanawake
Kusuka nywele kama wanawake
Kutoboa masikio kama mademu

Unaweza kujikuta unasalimia habari yako dada kumbe Kidume kimejipodoa kama demu
Hizi ni dalili za ushoga
 
Kudadadeki nyie wavulana mnaoongozwa nawanaume wawili wamikoani wala hamtutishi!!!!! Toka lini chips+mayai yasio kuwa Na baba+ kuku lakuzuka+ peps ikamlizisha mwanamke??? Sasa angalia msosi wawanaume wamikoani. Dona asili+ maharage+ samaki wamaji baridi+ uyoga+ njegere+ mkata kucha+ jagi zima lamaji. Sasa ukija kwenye cash wanaume wamikoani tunahela zakutosha nandio maana tunawaendesha kama tunavyo waendesha Dada zenu wakija huku mikoani sasa kwa taarifa yenu hiyo mechi Semeni ichezwe wapi nyie njooni mmelipuka napamba zenu sisi tunakuja Na magunia yahela alaf tuone Dada zenu walivyo natamaa kama atabaki hata mmoja[emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji5] [emoji124] [emoji124]
 
Match yoyote ile ni lazima iwe na watazamaji/washangiliaji. Mi ni mshangiliaji!
 
Mwanaume wa Dar ananapigwa mbele ya mkewe mkwewe na huku mke na mkwewe wakila kichapo bila kosa na akabaki analia lia tu
Ndio maana mashoga Dar wametamalaki
Hakuna mwanaume aliekamilika vizuri Dar
Mkuu umenikumbusha yule mvulana wa dar alie chezea kipigo pale Mombasa njia panda mazizini eti badala apambane eti kakimbia yaani huku mikoani askari wanajeshi wanatujua vizuri akikumata kama upo Na familia kwanza anaongea kwa adabu napili anakuomba muende kituoni. Sasa hivi vivulana vya dar kazi yao kulia kulia
 
Mimi nadhani utata huu tutaumaliza sisi wadada

Kuwa wamikiani wapo vzr au wabashite wapo vzr
Kweli kabisa hebu wadada changieni mmalize huu utata wa Wana uume wa dar na Wana uume wa mikoOne......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…