Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Hili ndlo tunalo liweza dahh!!! Inasikitisha sana mtu na akili yako unashupaza kiuno kuandika huu ujingaaa dahhh[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji47]
 
wanaume wa dar ni mabashite tu, chipsi yai hazijawahi mfikisha mwanamke mawenzi au kibo.
yaaaan ni kazi sana kumtofautisha mwanaume wa dar na demu.
 
mimi nimezaliwa na kukulia huku na nimetembea karibia mikoa yote ya tanzania.
Lakini ww ni wa Dar au ni wa kule umekulia huku. Mana sisi wa Dar hatuna time ya kushindana na hawa wa mikoani. Mana hawa ndo Magu huwaita wananchi wanyonge anaowatetea. Tunaanzaje kuwapa mademu wetu kwa mfano.... hata Kwa dakika moja
 
Napenda kuwaambia kabisa ninyi wa mikoani ambao huwa mnakuja huku mna breath mbaya na mnanuka kikwapa. ingawa nyie ndo inaendeshwa.katika suala la kugegeda.

"TANGU LINI JOGOO LA SHAMBA LIKAWIKA MJINI"
mkuu naomba namba kundi la wanaume wa dar.
 
Nilishasema wanaume wa Dar n janga kubwa kwenye 6×6ss mtu anakula mishikaki 2 na wali wa plastis mara utajibust na vipweza, vimihogo na karanga 7 za diamond mtu km huyu n mzembe kuanzia kitandan kazin na kila kona ya utendaji wa kazi kiufupi goigoi[emoji16][emoji23][emoji2]
 
Mi kweli mkuu, msongamano wa wanawake toka mkoa ni mkubwa, pia mjini ndo kwenye pesa hivyo kukutana na mataperi ni kawaida, mkoani mtatoa wapi pesa ya kununua hizo dawa kuwavutia waganga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…