Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Hahahaà maneno mengi wanaume wa dar wengi wanalea watoto wa baba zao wa mikoani nendeni mkapime DNA kila kukicha mnashinda kwenye foleni na kula chips na mautumbo ya mbuzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mkuu umewakimbia wa mkoan
 
wanaume wa Dar wote hamna tofauti na kiongozi wenu bashite.. mna swagaa za kike sana..
 
Reactions: ywf
Nijibu swali hili kwanza
Mbona matangazo mengi ya upungufu wa nguvu za kiume yapo sana dar kuliko mikoani
 
Reactions: ywf
Mnasema jogoo wa shamba hawiki mjini? Kwani anae wamiliki hapo dar wawapi?
 
Waliohamishwa juzi kwenye mawizara kuja hapa kwetu Dom nao wameshakua wa mikoani?? Tujulishane ili battle liende vzr
 
Mleta mada simuoni tena au ameshaingia mitini
Hili ndio tatizo la wanaume wa dar
 
Wanaume wa Dar sasa hivi nasikia wamechokwa mbaya na wahuni wamejitokeza na dawa za mvuto wa mapenzi

Hizi chips hizi zitawapeleka kubaya
 
Hapana, nlikuwa namgegeda dada mmoja kwenye gari... Nakuja ngoja nikanawe ntakuja. Na washtue jamaa zetu wa town waje pia.

Mkuu umewakimbia wa mkoan
 
Halaf naitafuta hiyo picha mie jaman ndio mwanaume wa wapi huyo [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanaume wa mikoani si ndo wale ambao wanaoana wenyewe kwa wenyewe kama wale wa mtwara
 
Hahahahhhahahahhah, sasa me sijui ni wa wapi,? Sababu nimezaliwa mkoani na kukulia mkoani ila maisha yangu nayendesha Dar kwa sasa miaka 12.
Asilimia karibu 90 ya wakazi wa Dar ni kutoka mikoani, sasa mwanaume wa Dar ni yupi!?
Umeshakuwa wa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…