Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Ni kwa dar pekee vidume vinapakawa huku duniani. Ndio maana vinaandamana kwenye ubalozi wa sauth africa kimya kimya
 
Kila mmoja anamadhaifu yake

Mwanaume Wa dar yupo romantic, anajua kupetipeti, anajua viwanja, anajua how to make you feel like upo peponi hahaha sijui pepo ya fordaus au IPI, ukija kwenye 6 x 6 ndo majanga unayakuta moja chali. Ingawa wengi (including me) huwa wanapenda hiyo kitu sio kuchoshana mpaka kunakuwa kwekunduuuuu unageuzia feni papate upepo maana sio Kwa umoto ule


Wamikiani mmmh, hawajui beach, hawajui club, hawajui kupetipeti, hata kutembea barabarani hawawezi, ila kwenye uwanja wapo vzr wanaweza kurudia Mara kadhaa mpaka useme basi,

According to me, napenda wanaume Wa dar, hahaaha
Kumbe ndo maana siku hizi hunitaki!!......na ole wako nikupate,nitakugeuza geuza kama chapati ya mama ntilie!!
 
Hadi kuingiziwa pump inaonesha ni jinsi gani tuna uvumilivu.. Nyie kama juzi wanaume wa Ukonga zaidi ya 300 wanapigwa na askari ambao hawazidi hata 20. Hadi mwanamama Mkuu wa Wilaya anakuja kuwatoa chini ya uvungu..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Tatizo sio kula papuchi tatizo nijinsi gani unaitendea haki iyo papuchi sio unapiga bao la kuku then unajiona mjanja kwa kuvuliwa nguo skuiyo.
 
Back
Top Bottom