Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

Sisi Wanaume wa Dar leo hii tumesimama hapa Kuwapa ukweli Halisi. Dar Vs Mikoani Battle is around

152d8d796ebf0dd6708624e189a7ce2f.jpg

Kwa mienendo hii, mimi naamia Mikoani..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna mwanaume wa Dar alileta uzi kuwa kapigwa mbele ya mama mkwe wake.!! Mke wake alitoka nduki akamwacha dume zima linachezea mikanda na makofi mbele ya mkwe, kama sio wehu ni nini!!

Mwanamke 1 wa kimasai ni sawa na wanaume 500 wa Dar!!
 
yeah pehaaaa
 
Hii mbona rahisi tu kujua hizi ni swaga za mkoani? Huoni jinsi walivyovaa? Huoni mazingira yalivyo na huo udongo mwekundu? Mikoani mna mambo ya ajabu sana.

152d8d796ebf0dd6708624e189a7ce2f.jpg

Kwa mienendo hii, mimi naamia Mikoani..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna mwanaume wa Dar alileta uzi kuwa kapigwa mbele ya mama mkwe wake.!! Mke wake alitoka nduki akamwacha dume zima linachezea mikanda na makofi mbele ya mkwe, kama sio wehu ni nini!!

Mwanamke 1 wa kimasai ni sawa na wanaume 500 wa Dar!!
Kwenye ubora wako ule ule [emoji3][emoji3]
Hadi kuingiziwa pump inaonesha ni jinsi gani tuna uvumilivu.. Nyie kama juzi wanaume wa Ukonga zaidi ya 300 wanapigwa na askari ambao hawazidi hata 20. Hadi mwanamama Mkuu wa Wilaya anakuja kuwatoa chini ya uvungu..
 
Mkipata elimu ya chakula mtagundua kuwa ugali na mchele kuna virutubisho vinavyofanana. So huna haja ya kula ugali mgumu ili uonekane una nguvu maana ugumu wa ugali si kipimo cha nguvu.

Ukifaham mayai yana protein na ukafaham kaz ya protein utaelewa vizuri. Shida ni kuwa mikoani mnakula mara 3 kwa siku wakati sisi huku wakati wote tunakula si mpaka tusikie njaa. Na kula ni starehe.hatuli ili tushibe tu kama mikoani. Tunakula tuki enjoy pia chakula.

Kama ugali mgumu ungekuwa ni chanzo cha nguvu bas dawa za kuongeza nguvu zisingekuwa kwenye form ya maji au powder ambayo unaichanganya na maji au kimiminika unywe.ingekuwa ni ngumu sana kama jiwe ili sasa. Ndo ionekane ina nguvu.

Mikoani ni uelewa ndo tatizo hawajui kuwa samak,maziwa n.k vyote vinapatikana dar ila huwez kula chakula aina moja kila wakati.

Kuwa msafi si udhaifu hilo msichanganye.. Usafi ni jambo la kheri na sisi huku hatuishi kwa kutumia nguvu.tunaishi kwa kutumia akili.ndo maana mjini akili nguvu kijijini. Mbona tunawafaham mkija huku mnauziwa blauz mnaambiwa mashati?

Mnavaa yeboyebo huku miguu yenu imepasuka na kuwa kama kwaruzo. Kwenye kupiga show inajulikana mapema tu wa mkoani huwa wakikuta madada zetu wa town warembo wakigusisha tu wanamwaga....sababu hisia wanazopata ni maradufu.

Wanaokuja dar na kujitambulisha waganga ni hao hao wa mikoani.utasikia mganga toka swanga,toka kigoma,mwanza n.k mjini wanakuja kutafuta pesa na wakikutana na wenzao walokuja huku ndo wanapeana support.sisi wa mjin hatuamin katika hayo madawa. Tumeenda shule... Tunaaamini ni suala la kula vizuri n.k
 
yaaan wanaume wa dar wanajua tu kulembua macho, kulemba sauti, kujipodoa kuiga miondoko ya kidemu.
yaaaan wanaume wa dar rojorojo kabisaaaaa.

yaaaan leo tukiweka mpambano wa ngumi kati ya demu wa mkoani na libashite la dar.
basi jua kesho mwili wa libashite la dar utaukuta muhimbili huku demu wa mkoani anadunda tu
 
Lakini ww ni wa Dar au ni wa kule umekulia huku. Mana sisi wa Dar hatuna time ya kushindana na hawa wa mikoani. Mana hawa ndo Magu huwaita wananchi wanyonge anaowatetea. Tunaanzaje kuwapa mademu wetu kwa mfano.... hata Kwa dakika moja

Kama nyie wanaume kweli mtoeni Bashite!! Mmekaa hovyo hovyo hadi Magu kamleta aliyefeli Form Four awaongoze!!
 
Aysee wanaume wa dar ni changamoto sana.Anakula mhindi wa kuchoma +pilipili +limao.nguvu zitatoka wapi? Wakija mkoani kwenye msiba wao ni kupiga picha tu hawawezi hata kushika chepe
 
Back
Top Bottom