Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Na uthibitisho wote jamaa asepe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseekunaye mtu mmoja alikua na mpenzi wake, mapenzi shatashata huku bibie akikataa wanaume waliokua wanakimbizana kuleta posa kwao kwa kisingizio ana mtu wake, kama uzuri amejaaliwa binti huyu, ni mzuri mashallah
Kaka wa watu kajitafuta kajipata, kajitutumua kwenda ukweni akapangiwa mahari tena ya bei na vitu ghali akatimiza yote mpaka tarehe ya ndoa ikapangwa, kisanga kikaja bibie kafumaniwa na mume wa nduguye tena kakiri si mara moja wala mbili shemeji anatelezesha utamu kwake.
Ujinga unaokuja ni mama wa mwanaume kushinikiza mwanae aoe hivyohivyo kisa watu wameshatoa michango na sare vitambaa wamekata hivi mama kweli unaweza kumshauri mwanao huu wazimu?
HahahaYani ushatombewa then una aaambiwa uoe hyo siku ntawatukana watu hawato kuja kunisahau kamwe kwenye maisha yao.
Kataaa ndoa.
Wanawake ni matapeli.
Ndoa ni utapeli.
TAfuta mwanamke mzalishe mtoto,hudumia.
Hayo mengine ni kutafuta kujifia mapema
Duuh!Hatari sana. Hili lilimkuta jamaa yangu, alimfunia mkewe mtarajiwa siku 2 kabla ya ndoa na bado akamuoa. Hadi leo wapo wote mwaka kama wa nane
mimi n mwanamke lakini siwezi mshinikiza mwanangu ndoa ambayo tayar jini mkata kamba kaingia kwa nguv zote
Duuh!