Sisi wapare tuna akili za darasani kuliko wachaga

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Nimefanya utafiti wangu nimegundua sisi wapare (vaathu) tunaakili Sana za darasani kuliko wachaga. Katika historia yangu ya elimu sijawahi kupitwa na mchaga kamwe.

Pia sisi wapare ni Kati ya makabila top 3 waliosoma Sana Tanzania wengine ni wahaya na wanyakyusa. Pia inasemekana asili yetu ni Israeli kutokea kwa mafalasha wa Ethiopia.

Itoshe kusema sisi ni Jews ancestry ndio maana kwa akili na uchapakazi wetu hayati mwl Julius Kambarage Nyerere alituita wapare ni wachina wa Tanzania.

Vumwe vwa Vaathu.
 
Hahahaha Hahahaha Mwambie Huyoooo mwambie anatufanganya Huyoooo Huyoooo
Bro wapare ni wasambaa waliokimbia na chief kimweri kutoka usambara na kukimbilia Same. Walikimbia wajerumani.
Huo u Israel mmeupata wapi?

#YNWA
 
Yaeza kuwa ni kweli ila ilio kweli zaidi ni kuwa pisi zenu wote nyuma wanalingana

😂😂 ni joke's tu mandhee
 
Asili ya Wapare ni Israel??
Utakuwa umedanganywa chief superbug!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…