Kuna siku kulikuwa na mkutano shule flani Isee ulikua mkutano wa wazazi, sasa wazazi walifika lkn tatzo lenyewe likajitokeza ipi tofauti kati ya mzazi na mwanafunzi, ikabidi coordinator wa mkutano awaulize wazazi wakowapi!! Bas wakajib kuwa ni "thithi thithi" [emoji23][emoji23][emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.