Sisi wapare tuna akili za darasani kuliko wachaga

Ukitoka hapo sijui kama ni Gonja Hedaru au Same ita utakavyoita ukavuka border ng’ambo ya pili hapo huku ukiwa na lako jambo lazima uangaliwe between the lines kama hivi!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sawa
 
Inferiority complex dhidi ya Mabilionea wa Kichaga
 
Nyinyi ni watani kijadi, ila ukiona mtu anasema maneno kama mimi ndiyo baba kwenye hii familia, basi ubaba wake ni wakutia shaka.
Kaul HYo ata mkuu aliion kabla ya hiii 5 tena
Akiw anakula kiaPo
 
Hata Sisi waluhya wa Kenya ni wa uzao waYakobo maana wa Isaaka🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
huu ni utani kati ya watani wa jadi wapare vs wachaga. pia wapare siyo watu wa kaskazini bali watu wa mashariki.
 
Sio
Sio kweli unaowasema ni wambugu labda wapare wametokea Kenya

wapare asili yao ni wataita na wakamba ndiyo maana utakuta majina kama kilonzo, na mangare, wako kenya na tanzania. pia wapare ni mchanganyiko na makabila kama wazigua, wasambaa, na wachaga.

mwana wa mkiva, ethibanda.

na ya nyuma iravusha teri.

kurongora kwa fua, ethiko kumanya vingi.

muitango tuedawa, chedawa ni mburi.
 
Mretonga teng'ola Masha mweteni.
 
Mretonga teng'ola Masha mweteni.

Yeho mweteni, teiirwa nywa.

Tagha kibudo, utane na shindaki.

Kiruke cha ibwe, ekimanyije ni igonda.

Muabera havo ni mzoro.

 
haya ehh malizia weekend yako ya mwisho urudi shuleeeee mpare mwenye akili mingi sana!
 
kusoma sana ni uoga wa maisha. Pamoja na kusoma kote huko wapare ni masikini kuliko wachaga. Nna petha jedima sheija mbure
 
Hao walipokuja same walikuja na wasomali ambao walidharaulika ndio waliitwa wambugu na kulikuwa na Vita ambayo mpaka Leo Kuna eneo linaitwa kava mbughu . Wanaojua zaidi wataeleza kuhuhusu kava mbughu
Yeah Hilo eneo nshawahi kuliskia .... me nimezaliwa same ..Ila kiasili ni mchaga
 
Kwa utafiti ulioufanya sijui kama ulipata majibu sahihi, maana wachaga nao Wana akili mno!!! Na hata kama hajasoma Wana akili ya utafutaji tofauti na wapare ni wazito kujiahughulisha!!!
 
Kwa utafiti ulioufanya sijui kama ulipata majibu sahihi, maana wachaga nao Wana akili mno!!! Na hata kama hajasoma Wana akili ya utafutaji tofauti na wapare ni wazito kujiahughulisha!!!
mtoa mada amelenga kuendeleza utani baina ya wapare na ndugu zao wachaga. kwa uelewa kila jamii hapa tz na ulimwenguni kwa ujumla ina watu wenye sifa mbalimbali[mbaya na nzuri] zikiwemo sifa za akili, uchapakazi, wizi, uvivu, nk nk.
 
Sijutii kumjua mpare wangu, yaan yuko smart kwa kila kitu.
Wapare mmebarikiwa kwa kila kitu, hongereni sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…