Nyie mna ugonjwa wa akili na ukosefu wa elimu ya jiografia, hizi tarehe na masaa ni Symbolic tu, kuleta uniformity tu, sio kwamba ni mwaka mpya kweli, kwani hakuna anaejua kama huyo yesu kazaliwa miaka 2025 iliyopita kweli, ila imechaguliwa tu siku na muda kwa makubaliano tu ya kuleta uniformity. Ndio maana hata time zones tumekubaliana tu, kwamba miji flani na miji flani itatukiabtime zone flani, sio kwamba wote tupo kwenye exact ‘longitude’. , sasa badala kuwa uniform kama ilivyokusudiwa mnataka kujiona bora zaidi na kuwa tofauti, fuk off.
Uniformity katika tarehe na siku ni muhimu ili watu waweza kupanga ratiba za matukio na appointment bila kupishana, tukisema hatusi ni tarehe flani muda falni, lengo ni wote tukutane kwa wakti mmoja kufurahi pamoja, sasa wewe ukileta ujuaji utafika kabla kabla au baada sherehe, kisa tu kujion bora na unajua zaidi..