figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Je nchi kama greenland ambapo usiku na mchana havilingani, mnahesabuje siku. Ushamba!Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia.
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia
Heri ya Mwaka mpya 2025
View attachment 3189581
Saa 9 jioni hadi jua kuzama siku ya Kwanza.Anhaa kumbe!
Naomba unijibu swali hili, hua linanichanganya sana;
Kwa hesabu hiyo uliyoitumia, Itumie kunielekeza inaingiaje kwenye Yesu kufa Ijumaa saa9 na kufufuka Jumapili asubuhi?
Siku3 zenye mchana na usiku zinaingia vipi hapo Msabato?
Si huwa mnasema mwaka wenu unaanza na kuisha wakati wa makambi!!!Sisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia.
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia
Heri ya Mwaka mpya 2025
View attachment 3189581
Mbona siku ya saba "Sabatho" - Jumamosi inafuata mtiririko wa masaa24?Saa 9 jioni hadi jua kuzama siku ya Kwanza.
Siku ya Sabato siku ya pili
Siku ya jumapili alipofufuka siku ya tatu!
Wasabato hatuna issue ya masaa 24, Bali jua kuzama na kuchomoza!!
Kwa maana hyo siku Moja Ina masaa mangap!? Inaanza sangap na kuishia snagapSisi tunaangalia mwaka wa Biblia sio mwaka wa kidunia.
Ikawa asubuhi ikawa jioni siku mpya. Kwenye biblia hamna ikawa asububi ikawa usiku siku mpya. Hayo ya Usiku ni mambo ya Kidunia
Heri ya Mwaka mpya 2025
View attachment 3189581
Mkuu we kumbuka jua kuchomoza na kuzama!Mbona siku ya saba "Sabatho" - Jumamosi inafuata mtiririko wa masaa24.
Yaani Jumamosi ya sabatho inehesabiwa kuwa ni siku ya 7 baada ya kupita siku 6 zenye urefu wa masaa24 kila moja usiku na mchana.
Hii imekaa vipi? Zamaulid
Siku3 hazihesabiwi hivyo kulingana na biblia.Mkuu we kumbuka jua kuchomoza na kuzama!
Ukienda northern pole,kule inaweza kata hata miezi 6 jua halijazama au miezi 6 jua halijaonekana je wasabato huwa wanasimama kuhesabu siku au maeneo kama hayo uhesabuji wa siku zao za ikawa asubuhi ikawa jioni unakuwaje?Si kweli.
Ukweli ni kwamba Waadventista wasabato huhesabu siku mpya pale jua linapo zama na si saa 12 kama watu wengi wanavyo dhani.
Ikitokea jua limezama saa 1 basi huo ni mwanzo wa siku mpya, likizama saa 11 halkadhalika.