Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia DarKatika mkoa mchafu Tanzania ya kwanza ni Dar.
Huo mkutano bora wangepeleka Moshi au Arusha au hata Dodoma.
Dar posta tu ile ukishuka chini hapa kwenye fukwe unaweza jiuliza marambili sisi waTz tuna shida gani kila kitu chetu ni hovyo.
Me nazungumzia usafi mkuu sijasema Kuna mkoa Dar unaipiku kimaendeleo..Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar
ile naikumbuka mana siku obama anaenda pale hyat enz ile kempiski nilikuwepo pale pale on the spot. nilishudiq wale mbwa ambao naskia wamefuzu kutumia computer wale k9.Walikuja marais wawili wa US-Bush na Obama fuatilia heka heka zilizokuweko.
Lakini safari hii ya hawa wageni imefanya serikali yetu kwenda mbali.
Rejea mada. Hapa kinachojadiliwa ni usafi na wala si eneo kama unavyoelezea.Nyie watu! Hata kama Dar ina mapungufu yake, lakini hapa Tz hakuna mkoa unaweza kuuingia Dar hata kwa robo! Dar ipewe heshima yake! Mikoa yote sijui Arusha, mwanza, Dodoma hata ikiungana haiwezi ifikia Dar
Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin ,Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda rufiji mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika
Kama ChalamilaSasa kama viongozi hawajali huo usafi utatokea wapi?!
Kwamba MTU akipanga tukio anaweza kushindwa? Tena kwa Tanzania?? Subutuuuuwengi hao ni viongozi wa nchi kwahiyo usalama wao ni muhimu kuliko chochote, wana maadui zao hatutaki nchi yetu ndio iwe kituo cha hao maadui kulipiza kisasi kwa hao wageni wetu, tulieni fata maelekezo suala sio uchafu ni usalama kwanza
Masoko gani yaliyofungwa?Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin ,Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda rufiji mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika
Panga wewe halafu nenda, ndugu zako watakuzika bila usumbufu, shida mnaleta dharau kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, nakuhakikishia tuna vijana wana uwezo mkubwa sana hapa Tanzania wewe jichanganyeKwamba MTU akipanga tukio anaweza kushindwa? Tena kwa Tanzania?? Subutuuuu
Nata tukioga tumeambiwa tusiende mjini😭Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin ,Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda rufiji mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika