Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji, nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na kuuweka mji wetu smart sasa tunatimuliwa mabarabarani huko sisi ni Wachafu tutaharibu sifa ya nchi yetu nzuri ,Iko siku watakuja viongozi wa Dunia akina Putin, Kim jong UN ,watakuja kutuambia twende kwa muda Rufiji Mwanalomango huko ili kupisha wageni la mkuu limesikika