Vijana wenu hao hawahusiki na kuwalinda wananchi wa Tanzania? Make kuna watu wameshambuliwa sana hapa nchini kama Tundu Lisu, Prof yule wa Sheria, Dr Ally Kibao, au wao ndiyo wasiyojulikana.Panga wewe halafu nenda, ndugu zako watakuzika bila usumbufu, shida mnaleta dharau kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, nakuhakikishia tuna vijana wana uwezo mkubwa sana hapa Tanzania wewe jichanganye