Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kwa Bahati Mbaya Sana watanzania hawana muda na Vitu Vya Msingi. Kwa sasa hivi wanawaza Kibeti kwenye match Za World Cup kuliko mambo ya msingi ya Taifa Lao. Leo ukienda vijiweni story kubwa Itakuwa jinsi Richarlison de Andrade alivyoipatia Brazili Magoli kwenye mtanange wake na Serbia
jana.
Twende Sawa hapa
Ukisikiliza Ripoti hii ya ajali ya Ndege utagundua vitu vingi vinavyoongelewa ni Vya Kijinga Kuliko mambo ya Msingi.
Mfano issue ya Nani alifungua Mlango wa Ndege tunaipa airtime isiyokuwa na ulazima. Hivi kufahamu aliyefungua Mlango kunatusaidiaje kuzuia janga lingine Kama Hili lisitokee tena nchini?
Haya kamati inasema kuwa boti ya uokozi Ilikuwa Doria. Hapa ni Sawa na umemwajiri Mlinzi Nyumbani kwako halafu Wezi wanakuja wanafanikiwa Kiingia halafu Mlinzi Anakuja kukueleza kuwa nilikuwa mbali Nafanya Doria.
Wakati ajali hii inatokea nilihoji ingekuwa tumevamiwa na nchi Jirani response yetu ingekuwa hii ya Kufika eneo la tukio Baada ya Masaa zaidi ya mawili?
Najiuliza ingekuwa Ndege ile ingekuwa imembeba Mfano Rais au Waziri mkuu kwa uzembe wa Uokoaji uliojitokeza kwa hawa Raia wa kawaida tungekuja na ripoti ya kitoto Kama hii?
Rais Mwinyi Aliwahi kujiuzulu kwa sababu ya Mauaji ya Vikongwe kule Shinyanga Nilidhani katika Hili angalau tungeondoka na Wawili wapishe Nafasi Zao ili watu wengine Wajifunze. Kwa Bahati mbaya tumeilipa kamati Pesa ya kwenda kuchunguza nani Alipiga Kasia Mlango ukafunguka. Waziri naye kakaa Mahali na Anasikilia ripoti hiyo ya Mchongo naye Anaita media anatueleza mambo ya Nani alifungua mlango.
Tunasikia KABISA kuwa ndege ilishindwa Kutua Mara ya kwanza ikaondoka ikarudi hivyo hili Jambo kwa nchi zilizoseriuos na Maisha ya Raia wake lilikuwa linaepulika au wangepata MSaada wa Haraka si hii futuhi tunayoelezwa hapa ya kwamba boti ilikuwa Doria, kuwa Doria ndio Kulitakiwa kulete ufanis zaidi kwenye uokozi zaidi.
Wanatuletea ripoti ya kitoto hivi kwa kuwa wanajua tuna akili Kijiko cha chai ndio Maana. Bora Wangesema boti ilikuwa Mbovu Badala ya ilikuwa Doria sasa ni Doria gani haiwezi kutambua mambo ya Msingi Kama haya?
Kama Ndani ya umbali ambao KM haifiki kutoka nchi kavu hadi ilipokuwa ajali tunafanya madudu haya jiulize Ingetokea katikati ya ziwa huko ingekuwaje. Wanajua Majibu haya akili Za Kitropick zitayakubali kwa kuwa ni akili zisizowaza Kesho watu wa akili hizi wa Kishashiba inatosha.
Huwa nacheka sana akili hizi zinapodai katiba mpya, hata matatizo ya maji na Umeme yanaanzia Hukuhuku kwenye akili Za kuwaza kushiba tu.
Ole Mushi
0629777771.