Pre GE2025 Sisi Wazalendo hatutakubali Tundu Lissu akatwe kugombea Urais 2025 na nafasi yake kupewa Kigogo Kijana kutoka CCM!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Endapo Chadema itarudia Ujinga wa 2015 wa kubadili Gia angani kwa Tundu Lisu basi wajue sisi Watanzania wapenda Demokrasia hatutakubali

Kuna tetesi kwamba wale mawaziri wawili machachari waliptumbuliwa mmojawapo atagombea Urais kwa ticket ya Chadema

Tunatoa angalizo kuwa tutaweka Itikadi pembeni Ili kulinda Demokrasia

Ahsanteni sana 🐼
 
Ulisoma wapi mkuu?
Mbona unaishi kwa kuzusha hivi? Demokrasia ipi unayozungumzia wewe ambayo umeikosa huko kwenye inside wa kijani na unataka kuipata pengine.
Ni juzi tu hapa ndani ya ccm waliopigiwa kura na wananchi siyo waliopitishwa . Ulichukua hatua gani?
Acha unafiki itakusaidia kwenyr afya ya akili na mungu unayemhubiri kila siku hapa pia hapendi unafiki . Kama unamuamini kweli na siyo maigizo
 
John you are stupid, vitu kamahivi si size yako. Unadhani chadema wanaweza kufika huko? chawa wewe
 
Ulisoma wapi mkuu?
Mbona unaishi kwa kuzusha hivi? Demokrasia ipi unayozungumzia wewe ambayo umeikosa huko kwenye inside wa kijani na unataka kuipata pengine.
Ni juzi tu hapa ndani ya ccm waliopigiwa kura na wananchi siyo waliopitishwa . Ulichukua hatua gani?
Acha unafiki itakusaidia kwenyr afya ya akili na mungu unayemhubiri kila siku hapa pia hapendi unafiki . Kama unamuamini kweli na siyo maigizo
Kuna CCTV camera na video ya cm mtu aliyerekodi.

Mtu huyo jasiri apongezwe na alindwe.
 
Back
Top Bottom