Ulisoma wapi mkuu?
Mbona unaishi kwa kuzusha hivi? Demokrasia ipi unayozungumzia wewe ambayo umeikosa huko kwenye inside wa kijani na unataka kuipata pengine.
Ni juzi tu hapa ndani ya ccm waliopigiwa kura na wananchi siyo waliopitishwa . Ulichukua hatua gani?
Acha unafiki itakusaidia kwenyr afya ya akili na mungu unayemhubiri kila siku hapa pia hapendi unafiki . Kama unamuamini kweli na siyo maigizo