Sisi wazee wa JF tuna kundi letu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana hii.
Eti hamtaki wazee...lol
Kila la kheri wadada,ila mkumbuke,
UKITAKA KULA SHARTI NAWE ULIWE,BURE GHALI.
[emoji126] [emoji126] [emoji126]
 
Mzee Mwanakijiji?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana hii.
Eti hamtaki wazee...lol
Kila la kheri wadada,ila mkumbuke,
UKITAKA KULA SHARTI NAWE ULIWE,BURE GHALI.
[emoji126] [emoji126] [emoji126]
Nifah upo kweli?
 
Nimekataliwa uanachama
Member lazima uwe ulijiunga na JF before 2009

Ooh mie nilidhani upo kwenye kundi unipitie twende wote....

Kwa vigezo hivo hata homie wako nae hayupo....

How are you by the way....
 
Ooh mie nilidhani upo kwenye kundi unipitie twende wote....

Kwa vigezo hivo hata homie wako nae hayupo....

How are you by the way....

Mcheki Nyani Ngabu ataku hook up na wazee wa hilo kundi
 
Dah...hivi uzee ni umri mkubwa au kuchoka kwa mwili?... Na unaanzia wapi?[emoji13]
 
Mcheki Nyani Ngabu ataku hook up na wazee wa hilo kundi

Hataki kunipeleka huko, anasema niende mwenyewe..... Anajuaa sitakubali kurudi.... Nipitie basi ywende wote ntarudii....

Please.....
 
Mcheki Nyani Ngabu ataku hook up na wazee wa hilo kundi

Hataki kunipeleka huko, anasema niende mwenyewe..... Anajuaa sitakubali kurudi.... Nipitie basi ywende wote ntarudii....

Please.....
 
KakaKiiza pongezi kwa kutusemea wazee wenzako wa jf group la ziada waambie akina mama sam vivi na wengine wasiwe na roho za chuki kwa wadada wapya watakao ingia zaidi ya yote wawakaribishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…