Sisi wazee wa JF tuna kundi letu

Sisi wazee wa JF tuna kundi letu

Sisi wazee wa MM na JF kwa ujumla group letu limepungukiwa na wadada baada ya wadada baadhi kuwa masomoni,makazini nje ya nchi na company yetu kwa sasa imepwaya hivyo tunatoa tangazo tunahitaji wadada 5 tu wakali hatutaki wazee na wadada wasiku mingi humu...maudhui nikuwa sisi ni kampany kila jumamosi ni bata kama upo committed hatukutaki...naishia hapo ukitaka unaweza kupm kwa hawa watu nilio wakopy

Jiwe Linaloishi
kipajihalisi
Paloma
KakaKiiza
Asprin
Ben Mugashe
GEORGE robart masatu
Hivyo hapo unaweza kutupia namba yako masharti usiwe na bwana mwenye vurugu uwe na bwana mstaarabu akijua uko na group la JF group anakuwa na imani mimi nawasilisha.
namba zangu 0767344840
 
Hapo nimeona midume sita. Mnahitaji wadada wangapi kundi likamilike?
 
PM namba yako uwe mdada kwa vigezo vya juu
 
Back
Top Bottom