Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Labda Chama Cha Mapinduzi
We bro subiri majibu ya yanga,so soonNi muda sasa toka GSM mtuambie mnamsainisha huyu Mwamba.... Tupeni raha wenzenu. Tupeni utamu... Malizeni issue yake leo hii Chama awe wetu. Hapo ndo patakapowauma Simba.
Tumchukueni Chama kupoza maumivu ya Morrison na Larry Bwalya. Msihangaike sana Chama anatufaa na tumeshamwona mambo yake live...ni bonge la mchezaji.TUMCHUKUE CHAMA TUJE MUUNGA NA MAKAMBO.
Chama pekee ambazo mnaweza kuzimiliki kwa Sasa ni zile za 200/- wanazozipendaga watotoNi muda sasa toka GSM mtuambie mnamsainisha huyu Mwamba Tupeni raha wenzenu. Tupeni utamu Malizeni issue yake leo hii Chama awe wetu. Hapo ndo patakapowauma Simba.
Tumchukueni Chama kupoza maumivu ya Morrison na Larry Bwalya. Msihangaike sana Chama anatufaa na tumeshamwona mambo yake live ni bonge la mchezaji.
TUMCHUKUE CHAMA TUJE MUUNGA NA MAKAMBO.