Tufamiane binti mzuri naomba kujua age na mahali ulipoMHH ST IVUGA MBONA LEO ...umeenda mrama babawatoto?
theme ya post ninin?
1.umepanda daladala na duu leo?
2.unajuta aukuchukua namba
3.unashangaa sista duu ata maji anaomba msaada wa kufungua?
iweje umewamisi masista duu jaman wakat unao mtaan ?
au upo ugaibuni ndo ukawamisi maduu wa bongo?
hahahahahahahahahaha..jina lako tena..yamefanana tu mkuu..mie nilikua mchoyo sana chuo..nikapewa hilo jina...ila nimependa lako pia
nilipopigia mstari hapo...hujashtuka nipo JF 24 hrs.. bila mgao wala chengaMHH ST IVUGA MBONA LEO ...umeenda mrama babawatoto?
theme ya post ninin?
1.umepanda daladala na duu leo?
2.unajuta aukuchukua namba
3.unashangaa sista duu ata maji anaomba msaada wa kufungua?
iweje umewamisi masista duu jaman wakat unao mtaan ?
au upo ugaibuni ndo ukawamisi maduu wa bongo?
mkuu JF umeivamia .....relaxy kwanzaTufamiane binti mzuri naomba kujua age na mahali ulipo
ipada haijanishtua .. nimependa tu jinsi sista du alivyoona miyeyusho kufungua chupa ya maji..nimemfagilia lakini ...Mtakatifu, kilicho kustua ni Ipad au kushindwa kufungua maji? Mbona hata hause girl wetu anayo huwa anaitumia akimaliza kazi zake. Inawezekana akawa ndio yeye mkuu.
kweli hii ni chit chat.
asante kwa ushauri mkuu hata hivyo sina stori nao..Duuu! hii ni kali mwanangu wewe oa tu uachane na masister duu!
Tufamiane binti mzuri naomba kujua age na mahali ulipo
hahahhah!! harudi tena huyu..mimi ni kigori tu kaka ..nina umri wa miaka 39
naishi kisemvule...
karibu.
Leo katika zunguka yangu ile nimetoka mitaa ya maskani nikaamua kukamata basi chap chap kwani nilikuwa siendi mbali.. basi lilikuwa halina watu wengi nikakaa fresh kwenye kiti kilichokuwa karibu yangu.. kiti cha pembeni kulikuwa na bonge ya sista do,na alikuwa ametupia vitu vya ukweli amekaa amepakata i pad anabrowse na chupa ya maji mkononi.. baada kama ya dk 5 hivi sista do akajaribu kufungua ile chupa yake ya maji kisista do akaiona kama vile ni ngumu kidogo ... nikawa namwangalia ...bila ya kusita akaniomba nimfungulie na mimi bial ya hiana nikaifungua nikamrudishia....kituo kilichofuata nikashuka nikamwacha sista do wa watu akaendelea na safari zake.. nimempigia hii stori mwana wangu mmoja ananiambia ningechukau namba ya huyu sista du ila kiukweli jambo nililofanya la kutochukua namba na kuendelea na mambo yangu ndio naona ni uamuzi mzuri kwangu...vipi masista du wetu wa bongo? soda ya chupa wanafungua hadi na meno
hahah....nawapenda dada zetu wa kibongo na nawa miss
thats was not my plan....yeap! when you want to shoot, shoot don't talk!!