Sister kashika mimba makusudi.

Sister kashika mimba makusudi.

GedsellianTz

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2016
Posts
1,348
Reaction score
1,805
Sister duu kashika mimba makusudi ,kalea mimba kwa manung'uniko ,kajifungua kwa bahati mbaya na analea mtoto kwa swagger ,mtoto anaona visivyotazamiwa kuonwa na anasikia vitu ambavyo alivyotakiwa kuviona .

1470939740834.jpg
 
Sasa mkuu mbona hukuinama/kuchuchumaa wakati unapiga hiyo picha.

Watu wengine wavivu sana.
 
Nilipoona sister nikadhani labda ni sister wa kikatoliki kabebeshwa mimba na padri😀😀😀
 

Dogo naye kaonyeshwa mapema... Ili Baadaye alipe kisasi kama mama yake alivyofanyiwa
 
Back
Top Bottom