GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,805
Sister duu kashika mimba makusudi ,kalea mimba kwa manung'uniko ,kajifungua kwa bahati mbaya na analea mtoto kwa swagger ,mtoto anaona visivyotazamiwa kuonwa na anasikia vitu ambavyo alivyotakiwa kuviona .