Sister_ Fey Ubarikiwe sana...!!

Sister_ Fey Ubarikiwe sana...!!

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
613
Reaction score
791
Habarini za mapumziko ya pilika pilika za j4,
Napenda kumpa pongezi za dhati Sister_Fey kwa jinsi anavyomtrit kijana mwenzangu. Kwani anajua majukumu yake vyema, anamuheshimu, anamjali na kumthamini pia bila kujali Umri. Na hii ndio sababu ya mimi kuvutiwa nae kwani ni wanawake wachache sana wanaotumia fursa hizi kwa vijana kama sisi. Ikumbukwe kuwa mapenzi sio Umri wala pesa ila mapenzi ni kutambua nini thamani ya unaempenda anakupatia au unampatia.
Kwa kweli napenda kutoa pongezi za dhati kwa Sister_Fey kwa kutambua umuhimu wa mapenzi ya dhati kwa vijana sisi.

Napenda kuwaomba akina dada na mama wa humu kama mnanisikia kilio changu naombeni fursa ambayo amepata kijana mwenzangu kwa Sister_Fey nami mwenye kunihitaji please niko tayari.

Kwani najua kutekeleza wajibu wangu kwa 100% niko tayari kulelewa.

Nawasilisha please usione noma njoo PM unipe fursa niko tayari kuitumikia.
fey_tanzania-20180724-0001.jpg
 
Back
Top Bottom