Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Nichape tuone
D.
Haya kalete fimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nichape tuone
D.
Na vile usingizi sina bora nichape nilale.Haya kalete fimbo
Na vile usingizi sina bora nichape nilale.
Ah ah ah ahHili Limama halijielewi
Kadata na kupigwa deki mchezo!Hili Limama halijielewi
na mimi nileee hivyo hivyo🙂Kwahiyo mkuu unataka kulelewa na wewe?
Mi sina hela za kulelea ningekuleana mimi nileee hivyo hivyo🙂
Nitakupa nataka unilee tu, nitokee kwenye maevent makubwa makubwa na mimi!..Mi sina hela za kulelea ningekulea
Hii hatari,vijana mnataka kulelewa,!!mtaji kiuno!!,Habarini za mapumziko ya pilika pilika za j4,
Napenda kumpa pongezi za dhati Sister_Fey kwa jinsi anavyomtrit kijana mwenzangu. Kwani anajua majukumu yake vyema, anamuheshimu, anamjali na kumthamini pia bila kujali Umri. Na hii ndio sababu ya mimi kuvutiwa nae kwani ni wanawake wachache sana wanaotumia fursa hizi kwa vijana kama sisi. Ikumbukwe kuwa mapenzi sio Umri wala pesa ila mapenzi ni kutambua nini thamani ya unaempenda anakupatia au unampatia.
Kwa kweli napenda kutoa pongezi za dhati kwa Sister_Fey kwa kutambua umuhimu wa mapenzi ya dhati kwa vijana sisi.
Napenda kuwaomba akina dada na mama wa humu kama mnanisikia kilio changu naombeni fursa ambayo amepata kijana mwenzangu kwa Sister_Fey nami mwenye kunihitaji please niko tayari.
Kwani najua kutekeleza wajibu wangu kwa 100% niko tayari kulelewa.
Nawasilisha please usione noma njoo PM unipe fursa niko tayari kuitumikia.View attachment 817853
,Aisee wapenda vitonga mtaoleka mjini hapa shauri yenu ohoo
😂😂😂Sister Fey ni mkuu wa mkoa mtarajiwa, subirini muone