Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Umesahau wewe kama mtanzania ulishuhudia pesa nyingi za walipa kodi na Watanzania wanyonge zilikuwa zinaliwa na mafisadi wa CCM?
Ila kuna Kiongozi alikuja akawabana na hao mafisadi na akafanyiwa fitina kubwa.
Watanzania wanahitaji chama ambacho kitalinda rasilimali zao na kutetea maslahi ya wanyonge.
Sasa kwa nini unazuia Umoja party kusajiliwa?
Umoja party inakuja kuleta ukombozi.