Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sukuma Gang kubalini matokeo tuUmesahau wewe kama mtanzania ulishuhudia pesa nyingi za walipa kodi na Watanzania wanyonge zilikuwa zinaliwa na mafisadi wa CCM?
Ila kuna Kiongozi alikuja akawabana na hao mafisadi na akafanyiwa fitina kubwa.
Watanzania wanahitaji chama ambacho kitalinda rasilimali zao na kutetea maslahi ya wanyonge.
Sasa kwa nini unazuia Umoja party kusajiliwa?
Umoja party inakuja kuleta ukombozi.
View attachment 2277010
Chama kilikufa kabla hata ya usajiliHuu upuuzi huwa mnautoa wapi? Ccm ilifanikiwa kupandikiza vyama huko nyuma, kwasasa kizazi kimebadilika ni ngumu kupandikizia wananchi chama.
Ni kweli na wengine wanadiriki kutoa ushauri eti wakulima wazuiwe kuuza mazao yao nje ya nchi kwa sababu kutatokea uhaba wa chakula Nchini !! Tuwaulize Hao wajanja JE HUYO MKULIMA MLIMSAIDIA KULIMA HUKO SHAMBANI KWAKE ? AU MLIMSAIDIA KUMPA PEMBEJEO ZA BURE ?? Nendeni na nyinyi mkalime kama mnataka chakula cha bei rahisi !!Huu upuuzi huwa mnautoa wapi? Ccm ilifanikiwa kupandikiza vyama huko nyuma, kwasasa kizazi kimebadilika ni ngumu kupandikizia wananchi chama.
Mkuu wewe umejuaje hawa ni mapandikizi ya CCM?
Chama kilikufa kabla hata ya usajili
Kama mpo serious kajichomekeni kwenye chama chochote ambacho kimeshasajiliwa na mfanye mapinduzi ya ndani kwa ndani vinginevyo hizo ni porojo tu, kama CUF ilipinduliwa na Lipumba/Magu na NCCR Mbatia kapinduliwa basi mjue shortcut ndiyo hiyo.Umesahau wewe kama mtanzania ulishuhudia pesa nyingi za walipa kodi na Watanzania wanyonge zilikuwa zinaliwa na mafisadi wa CCM?
Ila kuna Kiongozi alikuja akawabana na hao mafisadi na akafanyiwa fitina kubwa.
Watanzania wanahitaji chama ambacho kitalinda rasilimali zao na kutetea maslahi ya wanyonge.
Sasa kwa nini unazuia Umoja party kusajiliwa?
Umoja party inakuja kuleta ukombozi.
View attachment 2277010