Sisty Nyahoza: Ofisi ya Msajili Hajakiuka amri ya Mahakama kuwaandikia barua CHADEMA

Sisty Nyahoza: Ofisi ya Msajili Hajakiuka amri ya Mahakama kuwaandikia barua CHADEMA

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini, kupitia kwa Naibu Msajili wa Ofisi hiyo Sisty Nyahoza imetoa ufafanuzi kuhusiana na madai ya kwamba barua iliyoandikwa 'kutoka kwao' kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mei 26 mwaka huu inakiuka amri/ zuio la Mahakama lililotolewa hivi karibuni ambapo Ofisi hiyo ilipigwa 'stop' kuchukua hatua/ kufanya maamuzi yoyote Yale hadi hapo pande hizo mbili 'zitakaposikilizwa'

Soma Pia:
Akitolea ufafanuzi huo, Nyahoza amesema Ofisi hiyo haijakikuka amri/ zuio la Mahakama kutokana na kwamba amri au zuio hilo linatokana na barua ya awali waliyokuwa wameiandika kwa chama hicho, na kwamba hii inayozungumzwa sasa ni barua nyingine tu ambayo haihusiani na ile ya awali ambayo Mahakama ilizuia utekelezaji wake.

 
Back
Top Bottom