sita kwa sita...!

sita kwa sita...!

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Posts
12,752
Reaction score
7,861
...Kwanini wana ndoa hupendelea kitanda 6 " 6 (sita kwa sita),
iwapo adha zenyewe za kulala kitanda kimoja ni hizi;

...si bora kila mtu alale kitandani kwake, au kuoana maana yake ni kulala kitanda kimoja?
 
hamna kitu ninachopenda kama kulala peke yangu kitandani......najiachia nitakavyo.....akiongezeka mwingine sina raha nalala na marue rue...
 
Sita kwa sita tena inachangia distance kuwa kubwa kati yenu na mkinuniana basi nafasi kubwa inabaki katikati wakati nyie wawili mmejiegemeza ukingoni mwa kitanda.
Ila hamna kitu raha kama kulala peke yako,full kujiachia na unalala style yoyote utakayo,mara nyingi kwa singles.
Ni mazoea kwa wanandoa kulala kitanda kimoja maana wao ni kitu kimoja hivyo wakitaka ridhishana ni kushughulika tu ila kila mtu kulala kitanda chake ni mbali japo wapo wengine wafanyao hivyo. Kila shetani na mbuyu wake
 
Mi napendelea 3 kwa 6 hii ni full mbanano hata akimbilie wapi ninaye tu.
 
uzuri wa sita kwa sita ni wakati wa majambozi, mnakukuruka kitandani hadi raha.Maana uwanja mpana.
 
uzuri wa sita kwa sita ni wakati wa majambozi, mnakukuruka kitandani hadi raha.Maana uwanja mpana.

Hata mkimaliza ni raha tu maana mnaendelea kusnuggle pale kitandani na kuendelea na malovelove ya vijuice na kisses ali mradi raha tele 🙂
 
Kwanini wana ndoa hupendelea kitanda 6 " 6 (sita kwa sita),
iwapo adha zenyewe za kulala kitanda kimoja ni hizi;

Kikubwa nadhani ni flexibility tu:
  • Mkigombana you can keep distance! Ugomvi ukiisha you can easily come closer!
  • Kitanda kikubwa kinatoa uhuru mkubwa wa styles katika majamboz.
  • Kwa wale wanaopenda kulala na watoto (sanasana wachanga), ni rahisi na salama kama kitanda ni 6x6 ('mibaba' mingine haikawii kulalia vichanga kama kitanda ni kidogo!)
  • Kwa sehemu zenye mbu ukiweka chandarua kwenye 6x6 kinakaa vizuri na kuacha nafasi ya kutosha katikati hivyo unalala mbali zaidi na mbu!

...si bora kila mtu alale kitandani kwake, au kuoana maana yake ni kulala kitanda kimoja?

Yes ni lazima kulala kitanda kimoja. Tena nashangaa hao wamelala na nguo🙂!
 
kitanda cha 6-6 ni kizuri sana kwa wanandoa na vile vile kwa single,ila kama ukipata toto bikira hapo unaweza ukakesha nayo mpaka asubuhi bila kuona kitu,ila kama ukikutana na hawa dada zetu used Tanzania,80 km kwa miaka 20,hapo utafaidi kishenzi.kwa single hapo mguu mmoja mashariki mwingine magharibi,(full kujiachia)
 
hawa lazima wana ugomvi si bure huwezi kulala na mwandani wako mabalikiasi hicho ina maana hawafeel kitu, watajiju
 
[*]Mkigombana you can keep distance! Ugomvi ukiisha you can easily come closer!

...ni kweli eeh, it makes sense!

[*]Kitanda kikubwa kinatoa uhuru mkubwa wa styles katika majamboz.
[*]Kwa wale wanaopenda kulala na watoto (sanasana wachanga), ni rahisi na salama kama kitanda ni 6x6 ('mibaba' mingine haikawii kulalia vichanga kama kitanda ni kidogo!)

...naam, naam... duh hiyo ya kulalia kichanga mw'mungu apitishilie mbali!

[*]Kwa sehemu zenye mbu ukiweka chandarua kwenye 6x6 kinakaa vizuri na kuacha nafasi ya kutosha katikati hivyo unalala mbali zaidi na mbu!

...haya maskhara sasa, tukale wapi? 🙂

Yes ni lazima kulala kitanda kimoja. Tena nashangaa hao wamelala na nguo🙂!

...ni lazima tena? sio hiari? au kwakuwa ndio mmekuwa mwili mmoja? huko kulala na nguo sehemu zenye baridi kawaida...
 
Sita kwa sita inaraha zake, mojawapo in wakati wa majambo. Na pili mpatapo mtoto nafasi bado inakuwepo ya kutosha. Mtoto akilala majambozi yanaendelea sio lazima mtengeneze kitanda kingine, mnaua ndege wawili kwa jiwe moja.
 
kitanda cha 6-6 ni kizuri sana kwa wanandoa na vile vile kwa single,ila kama ukipata toto bikira hapo unaweza ukakesha nayo mpaka asubuhi bila kuona kitu,ila kama ukikutana na hawa dada zetu used Tanzania,80 km kwa miaka 20,hapo utafaidi kishenzi.kwa single hapo mguu mmoja mashariki mwingine magharibi,(full kujiachia)

duuu! mazee hapa umeniacha hoi..hongera kwa uchambuzi
 
We will share the same room in my single bed & Jah will provide ze bred ,mvuke kibao 😀
 
Kwa maana hiyo tunakubaliana kitanda 6 " 6 ni hiari, sio jambo la lazima?
...maana inakuwa kero tosha mamsapu anapong'ang'ania 'China made' tena lile lenye mikabati yake pembeni, bila kuangalia athari zake nyakati za 'pupwe!'
 
Wabongo tunapenda kurukiana jamani..........yaani kutajwa kitanda tu watu wote tumeenda kwenye kurukiana.............hivi niwaulize swali...........kati ya kitanda na tendo la kurukiana, ni kipi kimeanza kuwepo kabla ya kingine?
 
...😀 kuna raha yake kuruka ruka kitandani ati...ha ha haaa... anyway, wanajaribu directly na indirectly kujibu swali liloulizwa, ambalo ni;

...Kwanini wana ndoa hupendelea kitanda 6 " 6 (sita kwa sita),
iwapo adha zenyewe za kulala kitanda kimoja ni hizi;

...si bora kila mtu alale kitandani kwake, au kuoana maana yake ni kulala kitanda kimoja?

wanandoa = 'kuruka ruka' + 6 " 6 (furaha/karaha)
 
sita kwa sita ni kitanda kizuri kwa wanandoa hasa kipindi cha joto kwa vile kinatoa nafasi nzuri ya hewa. mnaweza kulala bila kugusana kukiwa na joto sana hasa dsm.
 
Back
Top Bottom