Sitachangia Uzi wowote kwa Lugha ya kiswahili

Huwa wananikera sana watu wa namna hii.

Huu ujinga anao yule mbweha faiza

Hivi utarekebishaje kwa kuweka equal sign?

Hapo kwa lugha nyepesi umemaanisha kuwa hayo maneno yapo sawa kitu ambacho si cha kweli.

Tatizo lafudhi ya mtu inamjia mpaka kwenye uandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…