Sitafuti hela kwaajili ya Mwanamke

Sitafuti hela kwaajili ya Mwanamke

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Huu msemo wenu wa "tafuteni hela wanaume ili mmiliki pisi kali" hua nauona ni msemo wa kijinga tu, binafsi naipambania pesa kwaajili ya maisha yangu mimi na si ya malaya, mnasujudu ngono sana ndiomaana mnatumia pesa kupata penzi, acheni ufala vijana wenzangu tafuteni hela kwaajili ya maisha yenu na sio kwaajili ya Wanawake wanaopenda pesa (Malaya).

UZI TAYARI.
 
Ni namna tu ya kumotivetiana...

Binafsi natafuta hela ili nipate nachokitaka.

Sasa linakuja swala la kula PREMIUM COOCHIES lazima na ww utoe premium package.. otherwise uta share tobo moja na wajinga wajinga (Mafala/Malofa). Kitu ambacho kwangu ni highly prohibited.
 
Hiyo ni kauli ya mtu aliekata tamaa hakuna mapenzi bila pesa usijidanganye hata akiwa mkeo,

Wanaume mmeumbiwa kuhudumia hii haikwepeki.

Halafu kizuri lazma ugharamie Without Money No Honey.
 
Hiyo ni kauli ya mtu aliekata tamaa hakuna mapenzi bila pesa usijidanganye hata akiwa mkeo,

Wanaume mmeumbiwa kuhudumia hii haikwepeki.

Halafu kizuri lazma ugharamie Without Money No Honey.
na Mwanamke anaoffer kwe mahusiano?
 
Tena nyinyi wa kujiapiza apiza hivi mkija kubananishwa mnabananishwa kweli. Ngoja tu uje uzipate hizo hela. Nakuombea!🙏🏿
 
Teh teh teh teeeeh!!
Key board warriors🤣🤣🤣

Cha msingi ni ZITAFUTENI.
 
Ukishazipata hizo hela ndo utajua kazi yake nini, kwa sasa zitafute kwanza.
 
Dunia iliaminishwa kuwa mwanamke kutoa mbususu ni kama kamhurumiabtu mwanaume kumbe na vyenyewe vinasikia raha😂😂

Kama tumekubaliana 50 50 basi twende nayo kwa haki sio 5 50 kwenye kinafki
 
Hiyo ni kauli ya mtu aliekata tamaa hakuna mapenzi bila pesa usijidanganye hata akiwa mkeo,

Wanaume mmeumbiwa kuhudumia hii haikwepeki.

Halafu kizuri lazma ugharamie Without Money No Honey.
Wenye hela telee wake na mahawara zao wanaziniwa na waendesha boda boda, walimu wa gym, mashamba boy, walinzi, marioo, mabaunsa, serengeti boys/ben 10, madereva, wavuta bange etc etc money is not everything ukitumia pesa utapata makahaba tu, ambao lazma wana watu wao pembeni wanaowapenda. Hilo la mwanaume kuhudumia Mungu yupi sijui aliyeumba hayo, tangu enzi za mababu, wanawake wanalima shambani, wanachota maji, wanakata kuni, wanakamua maziwa mifugo, wanalisha mifugo etc etc kuhudumia familia
 
Hiyo ni kauli ya mtu aliekata tamaa hakuna mapenzi bila pesa usijidanganye hata akiwa mkeo,

Wanaume mmeumbiwa kuhudumia hii haikwepeki.

Halafu kizuri lazma ugharamie Without Money No Honey.
Wenye hela telee wake na mahawara zao wanaziniwa na waendesha boda boda, walimu wa gym, mashamba boy, walinzi, marioo, serengeti boys/ben 10, madereva, mabaunsa, walinzi, wavuta bange etc etc money is not everything ukitumia pesa utapata makahaba tu, ambao lazma wana watu wao pembeni wanaowapenda. Hilo la mwanaume kuhudumia Mungu yupi sijui aliyeumba hayo, tangu enzi za mababu, wanawake wanalima shambani, wanachota maji, wanakata kuni, wanakamua maziwa mifugo, wanalisha mifugo etc e kuhudumia familia
 
Back
Top Bottom