Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Wengi mnanifata pm kuniambia sijui nini nini
Mnanionea bure.sitafuti mtu Mimi hili ni jina langu tu.nilitafuta nikachoka.sitaki tena niacheni.
Rafiki najua chura ipo,mabonge wote wana chura za maana na wewe ni bonge!!......nipo tayari kutii masharti yako yote!!Kwani avatar ni yangu?
Hata sijakuelewaSijawahi kukutafuta na kwanza sikujuwi, ila kama unataka ujiko tu.....wewe kaa uchi kila kukicha na uje kubandika picha zako za utupu hapa.....haki ya nani tutakuchaguwa kuwa mbunge wa viti maalum asiye na posho humu JF.
Kwani Mimi bonge?Rafiki najua chura ipo,mabonge wote wana chura za maana na wewe ni bonge!!......nipo tayari kutii masharti yako yote!!
[emoji144] [emoji144] [emoji3] [emoji3]mm sijuwi ila ww ndio chanzo...chochote kikitokea usiku utahusika 100%
where is he coming from? plz mwenye kujuwa anijuzeSijawahi kukutafuta na kwanza sikujuwi, ila kama unataka ujiko tu.....wewe kaa uchi kila kukicha na uje kubandika picha zako za utupu hapa.....haki ya nani tutakuchaguwa kuwa mbunge wa viti maalum asiye na posho humu JF.
MhhhhhhhhhhhKwani Mimi bonge?
Bora hata sijaelewaUkijitambua ndipo utaelewa, si kosa lako.
Sema hajatokea tu wa kuukamata mtima wako.Wakati nawaitaji mlinikataa.na Mimi sitaki tena
Sijali hilo ila sitafuti tena. Nafanya mambo mengine sasaSema hajatokea tu wa kuukamata mtima wako.
Hujapata tu?Sijali hilo ila sitafuti tena. Nafanya mambo mengine sasa
Nilimpata ila simuelewiHujapata tu?
Mi nakutafutaMe sitafuti mtu huku
Siitaji tena mkuuMi nakutafuta
Natangaza nini?Iyo avatar pamoja na ID yako lazima waje tu,biashara matangazo