Sitafuti mpenzi wala nani, Miss Natafuta ni jina tu

Wengi mnanifata pm kuniambia sijui nini nini
Mnanionea bure.sitafuti mtu Mimi hili ni jina langu tu.nilitafuta nikachoka.sitaki tena niacheni.

Sijawahi kukutafuta na kwanza sikujuwi, ila kama unataka ujiko tu.....wewe kaa uchi kila kukicha na uje kubandika picha zako za utupu hapa.....haki ya nani tutakuchaguwa kuwa mbunge wa viti maalum asiye na posho humu JF.
 
Hata sijakuelewa
 
where is he coming from? plz mwenye kujuwa anijuze
 
Back
Top Bottom