Sitafuti mpenzi wala nani, Miss Natafuta ni jina tu

Duh..! Mleta mada nimekuvulia kofia !
Yaani jinsi ulivyoliweka tangazo lako umetumia akili sana hongera.
Umenikumbusha miaka hiyo kulikuwa na superstar wa Bongo movie alijulikana kwa jina la Sinta alitengeneza "tangazo kiaina"
Yaani alicheza na gazeti moja la udaku maarufu enzi hizo wakaandika habari iliyosomeka
"Sinta asema yeye bado bikira anayebisha aje aone"
Sasa hapo mapedeshee wa enzi hizo ikawa ni full kumfukuzia ili waone bikira.
 
Hapo uliposema ulitafuta ukachoka umeniacha mdomo wazi ,, lakini kumbuka wahenga walisema. Atafutae hachoki.
 
Watu wa humu wanapenda sana kujudge kupitia avatar ama I'd utadhan hawajui asilimia kubwa wanafake humu kila kitu (na kwenye hii comment hawachelewi kutokwa povu)
Waache tu yaje yawakute kama yule dogo aliyempenda demu Fb wakaanza charting mwisho wa siku wakapanga kukutana Ng'wanza jamaa kufika anakutana na kituko!
Kademu kafupi kama katoto halafu nyuma LCD flat screen vimiguu kama toothpicks sura kimekomaa.!
Dogo alidanganyika na picha za FB ambazo nyingi ni photo shop.
 
Wengi mnanifata pm kuniambia sijui nini nini
Mnanionea bure.sitafuti mtu Mimi hili ni jina langu tu.nilitafuta nikachoka.sitaki tena niacheni.
Asante kwa ufafanuzi ngoja nifute pm yangu iliyo kuwa njiani kuja kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…