Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Badili jina shost jiite "miss sitafuti" labda watakoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unaendeleaje mumu, habari za kushinda?Badili jina shost jiite "miss sitafuti" labda watakoma
Sijambo chief naendelea unonoo kabisa[emoji4]unaendeleaje mumu, habari za kushinda?
Nimefurahi kujua hivyo [emoji4][emoji4]Sijambo chief naendelea unonoo kabisa[emoji4]
sitaki tenaHapo uliposema ulitafuta ukachoka umeniacha mdomo wazi ,, lakini kumbuka wahenga walisema. Atafutae hachoki.
Waache tu yaje yawakute kama yule dogo aliyempenda demu Fb wakaanza charting mwisho wa siku wakapanga kukutana Ng'wanza jamaa kufika anakutana na kituko!Watu wa humu wanapenda sana kujudge kupitia avatar ama I'd utadhan hawajui asilimia kubwa wanafake humu kila kitu (na kwenye hii comment hawachelewi kutokwa povu)
Mkuu unaonekana ka uliumizwa sana[emoji1] [emoji1]Sijali hilo ila sitafuti tena. Nafanya mambo mengine sasa
hapana mkuuMkuu unaonekana ka uliumizwa sana[emoji1] [emoji1]
Maana wanaochoka kutafuta wengi huwa wameumizwa kwa namna moja ama nyingnehapana mkuu
Ahsante chief, ww je, vipi hali yako leo!??[emoji5]Nimefurahi kujua hivyo [emoji4][emoji4]
Nipo vizuri asee asante [emoji4]Ahsante chief, ww je, vipi hali yako leo!??[emoji5]
Asante kwa ufafanuzi ngoja nifute pm yangu iliyo kuwa njiani kuja kwakoWengi mnanifata pm kuniambia sijui nini nini
Mnanionea bure.sitafuti mtu Mimi hili ni jina langu tu.nilitafuta nikachoka.sitaki tena niacheni.