Sitafuti mpenzi wala nani, Miss Natafuta ni jina tu

Sitafuti mpenzi wala nani, Miss Natafuta ni jina tu

Si ndo hapo Mkuu.mtu kama anataka mchumba aende love connect
huko mitaani wamejaa tele..
na nilichogundua wanawake ukiwa na comfidence umemmaliza..unamtongoza ukiangalia macho yake direct..kwishnei
 
Wengi mnanifata pm kuniambia sijui nini nini
Mnanionea bure.sitafuti mtu Mimi hili ni jina langu tu.nilitafuta nikachoka.sitaki tena niacheni.
Hahahahaha. Siamini leo mkuu umejisalimisha kwa raia au mwenzetu ndoa inakaribia nini? Ili upunguze wanaokufuata fuata
 
Back
Top Bottom