Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Hadi mdada anatumia njia ya kua na hela hii hatar nilijua wanaume tu ndo wanatuvutia kwa hela...kwa mantiki hii inaonyesha kkabisa huyu dume
Ila wadada wa namna hiyo wapo. Zama zimebadilika
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora umekua mkweli
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ndoa haina chama asije aone nadanganya hapa kwamba sijaenda PM wakati alivyotoa tangazo la kwanza lile achana na hili nimekuwa wa kwanza kwenda.
 
Si uje hapa sasa mumeo nakusubiri..![emoji41][emoji41]
Nina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.

Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.

Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza

Sifa soma post iliyo pita
 
Nina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.

Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.

Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza

Sifa soma post iliyo pita
Wazo zuri sana kumbuka hata hapa unaweza pata msaada wa kimawazo vizuri tuu na ukafanikisha ndoto zako.
Nakushauri usikae na pesa mkononi tena ni pesa nyingi sana hiyo.
Siku hizi watu wanakaa tuu nyumbani kwoa pesa inawafanyia kazi "Money works for you nadhani umenielewa"
Unaweza weka pesa zako benki baadae ukachukue amount Fulani kama faida kwa maneno mengine unaikopesha benki pesa zako halafu baada ya mwezi mmoja, mitatu, mitano au mwaka , miaka mitata au Zaidi inakuletea faida.

Hiyo kitu ina itwa fixed account Uzuri pesa zako hazikatwi bali utazikuta zimeongezeka. Hii ni tofauti na kununua hisa kwani hisa zikishuka pesa yako huliwa kwa hiyo usiwe na hofi nakushauri ziwekeze fexed account hata mashirika na taasisi kubwa kama vyuo vikuu vinafanya hivyo kupata pesa kijanja.
Nakumbuka chuo tulikua tunacheleweshewa pesa zetu kwa sababu ya hii kitu kumbe chuo kilikua kinapeleka pesa za mkopo za wanafunzzi fixed account wanazuga hazijaingia kumbe zimewekezwa.


Zipo benki nzuri zinazotoa faida nono kama Acces bank, FINCA N.K
 
Nina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.

Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.

Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza

Sifa soma post iliyo pita
Hlafu pesa hazitangazwi sio mila mtu ni mwema kwani wengine watakuja kukuzunguka na kuzichukua na wakuue kabisa.
Dunia mbaya sana usipokua makini na mambo yako ya ndani hasa mali zako.
 
We unapoteza muda kumshauri mwanaume anayejifanya mwanamke? M300 kirahisi rahisi tu? Apate m300 halafu ashindwe kupata mume inaingia akilini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…