HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,487
- 6,250
Ila wadada wa namna hiyo wapo. Zama zimebadilikaHadi mdada anatumia njia ya kua na hela hii hatar nilijua wanaume tu ndo wanatuvutia kwa hela...kwa mantiki hii inaonyesha kkabisa huyu dume
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila wadada wa namna hiyo wapo. Zama zimebadilikaHadi mdada anatumia njia ya kua na hela hii hatar nilijua wanaume tu ndo wanatuvutia kwa hela...kwa mantiki hii inaonyesha kkabisa huyu dume
Sanaa huyo ni mwanaume wala sio jike.[emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna watu wanacheza na akili za watu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ndoa haina chama asije aone nadanganya hapa kwamba sijaenda PM wakati alivyotoa tangazo la kwanza lile achana na hili nimekuwa wa kwanza kwenda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bora umekua mkweli
Hahahaahaa daah alafu ukajua vp ni mwanaume[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ndoa haina chama asije aone nadanganya hapa kwamba sijaenda PM wakati alivyotoa tangazo la kwanza lile achana na hili nimekuwa wa kwanza kwenda.
Ushakutana nao? Ama kweli ndoa ngumuIla wadada wa namna hiyo wapo. Zama zimebadilika
Nina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.
Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.
Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza
Sifa soma post iliyo pita
Hahahaahaa daah alafu ukajua vp ni mwanaume
[emoji3][emoji3]pole kwa kuchat na dume mwenzioNimejua tu kwa kuona mwenendo wake.
Hili swala ni zito haswa. Nimepitia post zake naona swala ni hilo hilo. Atakuwa na matatizo.Ushakutana nao? Ama kweli ndoa ngumu
Mbona hata wewe nahisi ni dume [emoji3][emoji3][emoji3] sms zako hazina hata haloooo!!!![emoji3][emoji3]pole kwa kuchat na dume mwenzio
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuweka halooo ni ushogaaa[emoji3][emoji3]...me dume wwMbona hata wewe nahisi ni dume [emoji3][emoji3][emoji3] sms zako hazina hata haloooo!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuweka halooo ni ushogaaa[emoji3][emoji3]...me dume ww
[emoji23][emoji23][emoji57][emoji57][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]kama hizii[emoji3][emoji3][emoji3] Yakupasa utumie maneno ya kike na emoji za kike.
Wazo zuri sana kumbuka hata hapa unaweza pata msaada wa kimawazo vizuri tuu na ukafanikisha ndoto zako.Nina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.
Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.
Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza
Sifa soma post iliyo pita
Ewaaaa hapo najua moja kwa moja ni mwanamke.[emoji23][emoji23][emoji57][emoji57][emoji108][emoji108][emoji108][emoji108]kama hizii
Hlafu pesa hazitangazwi sio mila mtu ni mwema kwani wengine watakuja kukuzunguka na kuzichukua na wakuue kabisa.Nina m300 nataka nipate mume wa kuzindesha maana Kwa Sasa kila ninacho fanya kinagoma nahofia kupoteza kabisa pesa yangu.
Nimeamua kuwa muwazi lengo la kuhitaji mwenza mwenye uhitaji.
Awe tayari tuishi mwezi wa kwanza
Sifa soma post iliyo pita
Basi sawa soon ntaleta tangazo la kutafuta mume..uwe wa kwanza kuja pmEwaaaa hapo najua moja kwa moja ni mwanamke.
Mbona unasema habari za siri zetu hadharani, hebu futa nakuja PM.Basi sawa soon ntaleta tangazo la kutafuta mume..uwe wa kwanza kuja pm
We unapoteza muda kumshauri mwanaume anayejifanya mwanamke? M300 kirahisi rahisi tu? Apate m300 halafu ashindwe kupata mume inaingia akilini?Wazo zuri sana kumbuka hata hapa unaweza pata msaada wa kimawazo vizuri tuu na ukafanikisha ndoto zako.
Nakushauri usikae na pesa mkononi tena ni pesa nyingi sana hiyo.
Siku hizi watu wanakaa tuu nyumbani kwoa pesa inawafanyia kazi "Money works for you nadhani umenielewa"
Unaweza weka pesa zako benki baadae ukachukue amount Fulani kama faida kwa maneno mengine unaikopesha benki pesa zako halafu baada ya mwezi mmoja, mitatu, mitano au mwaka , miaka mitata au Zaidi inakuletea faida.
Hiyo kitu ina itwa fixed account Uzuri pesa zako hazikatwi bali utazikuta zimeongezeka. Hii ni tofauti na kununua hisa kwani hisa zikishuka pesa yako huliwa kwa hiyo usiwe na hofi nakushauri ziwekeze fexed account hata mashirika na taasisi kubwa kama vyuo vikuu vinafanya hivyo kupata pesa kijanja.
Nakumbuka chuo tulikua tunacheleweshewa pesa zetu kwa sababu ya hii kitu kumbe chuo kilikua kinapeleka pesa za mkopo za wanafunzzi fixed account wanazuga hazijaingia kumbe zimewekezwa.
Zipo benki nzuri zinazotoa faida nono kama Acces bank, FINCA N.K