Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Huwezi jua amepitia nini mpaka kafia tangazo..pia kaja jukwaa sahihi wewe kama hupendi usiwe unafungua kusoma hapa hujalazimishwa .
Nenda jukwaaa La Mapishi.
Mnakeraaaaaaaa.
Mapenzi yana umri??
Au ingekuwa hivyo akina Graca Michel angeolewa Na Mandela??
Wewe uliyebahatika kwa umri inaojua ni nzuri pita kinya.
Duniani mambo hayafanani
La vidole vya mikono.Na hakuna sheria wote waoe au kuolewa umri Fulani.
Umri ushaenda sasa unatafuta mitandaoni
 
Tulia wewe[emoji382] [emoji382]
 
Nilisema yoyote wadau wakasema niandike vigezo
Mamii utapata.Wengine Wapo kukatisha wenzao tamaa Na kutwa Wapo hapa love connect. huwa najiulizaga kwani majukwaa mengine hawayaoni.
Jf wameweka jukwaa hili kwa kuwa linafaa Na kuna uhitaji Na watu smart wanapata wenza .
Go my Girl.Life is everywhere and with anyone any place .No boundaries.
 
Nilisema yoyote wadau wakasema niandike vigezo
mnachokera mkijiwa pm baadae mnarudi hapa kutoa mrejesho...sijui ooh sijapata aliyesahihi na bla bla kibao,
TAHADHARI wanaume wenzangu sensa inafanyika na mwisho wa siku namba zenu za simu zitawaponza
 
Wanawake wanatafuta Wanaume tunapoelekea mtakuwa mnachumbia kabisa
Maelewano tu.Kwani shida IPO wapi kama kuna maelewano.Mbona Wahindi wanawake Ndo hulia mahali.
Kutwa mnadhinda Love connect kukatisha tamaa watu wanaojaribu bahati zao.
Nendeni Hata jukwaa la Mifuko mjifunze kufuga.
Hapa mtakereka sana.
 
Watu hawajui tu Wanaume wafupi jamani wanaupendo kama wote sema tu ile kuongozana Ndo inakuwaga shida
Amma kweli wanaume wafupi ngoja tuendelee kupambana "CHINI kwa CHINI" ipo siku tu ......
 
Back
Top Bottom