Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

Sitafuti mume ila anayehitaji mke asome

We unapoteza muda kumshauri mwanaume anayejifanya mwanamke? M300 kirahisi rahisi tu? Apate m300 halafu ashindwe kupata mume inaingia akilini?
Ulizani kila mtu anakurupuka kurupuka hovyo kamamunavyofikiri?
Nilichokifanya mimi nikumpa idea nzuri ili pesa zake zizae huku akiendela kumtafuta mpendwa wake pole pole mpaka pale MUNGU atakapompa kwa sababu sio jambo la haraharaka kama anavyofikiria bali linahitaji muda mrefu na maandalizi ya kutosha.

Fixed account itamsaidia kwani pesa zake hazitaingia loss kama angeenda kufanya bishara na pia kwa kuwa ni nyingi imagine anapata riba ya asilimia 7% kwa mwezi huoni atapa mkwanja mrefu?
 
Hahahah bado tu unaendelea kumshauri?
Inna
Mbao za Mawe
 
Back
Top Bottom